Mkuu hivi majoka haya ya jamii ya constrictor snakes yanaweza kumkimbiza mtu hadi limkamate?? Sio kwamba yanafanya ambush then linakuconstrict unakufa linakukula, ama [emoji2296]Nimeamini vile husemwa ukitaka kumkimbia chatu asikufuate, vuka upande wa pili wa barabara ya lami, huwa anapata shda sana kutambaa kwenye lami, na hii iko kwa majoka na nyoka wote.
Nyie watu mko makatili sana aiseeEcosystem kazini ili likale mbuzi wa nani. Tunalishughulikia.
Hivi ile harufu hutokana na nini? Na siyo pilau Mara nyingi ni harufu ya mchele ama wali na Viazi mviringo vilivyopikwa na kuungwa! Nakutana na hiyo hali Mara nyingi sana nipitapi sehemu zenye nyasi nyingi kidogo au vichakani.zamani kabla ya TV kuja tulikuwa tunasimuliwa ukipita msituni ukasikia harufu ya pilau ujue chatu anawinda kimbia mbio zote
Hayanaga mbio kivile.Mkuu hivi majoka haya ya jamii ya constrictor snakes yanaweza kumkimbiza mtu hadi limkamate?? Sio kwamba yanafanya ambush then linakuconstrict unakufa linakukula, ama [emoji2296]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Duh!!!,Wiki moja???Kwa anaconda labda huyo ana wiki moja
Muongo huyoDuh!!!,Wiki moja???
Mshara atakwambia hiyo ni ishara mbaya huko uendako.Nyani Ngabu wewe unasema ecosystem mambo ya kimagharibi hayo, sasa tumuulize Mshana Jr nyoka ukikutana na nyoka anavuka barabara ni ishara ya nini?
Mkuu,Biblia ina lugha iliyofichika sana usipoelewa hilo utapata shida sana.Kimsingi ktk Kitabu cha mwanzo tunaposimuliwa kuhusu Adam,Eva na Nyoka,Lazima tujue kuwa Nyoka ni lugha ya Kibiblia(Biblical language) kumaanisha ibilisi,waliamua kutumia Nyoka kwasababu kadiri ya Waisraeli walimchukulia Nyoka km kiumbe aliyelaaniwa,hivyo hapo wanamtumia ktk hbr hiyo km kiumbe mlaanifu kuliko wote anabeba picha ya ibilisi.Matharani ingekuwa Biblia ingeandikwa ktk Afrika hii ktk Kabila ambalo kwao kiumbe mlaanifu waliona kuwa ni nguruwe(mfano tu simaanishi hivyo),basi wangemtumia huyo.Kumbe usichukulie hivyo kumlaani Nyoka .Kwasababu Biblia hiyohiyo ktk Kitabu cha mwanzo, nafikiri ni Sura ya kwanza inasema kuwa "Na tazama kila alichokiumba Mungu ni chema sana,", Sasa Nyoka aliumbwa na nani?,au alijiumba?.Nyoka hapaswi kuachwa aendelee kuishi. Ndiyo chanzo cha laana kwa Adam na Eva
Hata mimi huwa ninawauaWatanzania tuna shida sana...yaani akionekana nyoka tu lazima wamuue.
Kuna siku kanyoka kadogo kalikatiza kwenye eneo la biashara, nikachukua fimbo nikakasogeza ili kaende kwenye vichaka. Aisee nilimaindiwa kinoma, wadau walikatafuta wakakaua.
Kabisa, mimi nimeshituka.Muongo huyo
Nyani naye siku hizi mmemuweka kwenye kundi la kina mshana jr na wachawi wengine humuNyani Ngabu wewe unasema ecosystem mambo ya kimagharibi hayo, sasa tumuulize Mshana Jr nyoka ukikutana na nyoka anavuka barabara ni ishara ya nini?
Hahahaaaa!
Hao waganga wa kienyeji ni wapotoshaji sana.
Kwa anaconda labda huyo ana wiki moja
Jamaa nawe unatunywesha chai isiyo na sukari.Mwamba ni Black mamba tu Hapo hakuna mtu angebaki sijui anapiga picha na utopolo kama huo ulio ueleza huyo Nyoka sitashangaa kusikia ni Laboratory Generated, Ivi King Cobra au black mamba kitu inafukuzia Gari nani atabaki apo
kuna miti inatoa hiyo harufuHivi ile harufu hutokana na nini? Na siyo pilau Mara nyingi ni harufu ya mchele ama wali na Viazi mviringo vilivyopikwa na kuungwa! Nakutana na hiyo hali Mara nyingi sana nipitapi sehemu zenye nyasi nyingi kidogo au vichakani.
Ndio mana nikaanza na Black mamba mkuu, Ni hatari sana asante kwa taarifa za CobraJamaa nawe unatunywesha chai isiyo na sukari.
Kuhusu black mamba sijawahi hata kumuona, namsikia tu kuwa ni hatari sana, ana speed kali sana, mkorofi (hasa akizeeka), na nafahamu marehemu kadhaa waliouawa na huyo koboko. Huyo sitamani hata kukutana naye.
Ila kuhusu king cobra, usitishike na neno 'king', hana lolote zaidi ya kurusha mate, tena ukiwa karibu naye sana, pamoja na kuwa na sumu kali. Lakini kuhusu amsha amsha hana kabisa na hata awe mkubwa kiasi gani kumuua ni rahisi mno, achilia mbali kumpiga picha. Huku kanda ya ziwa kuna cobra wengi sana, na nimeshawaua wengi.
Kama treni ya umemeAisee. Sasa wa mwezi mmoja atakuwaje?