Binadamu anatengenezwa na kuwa kamili kwa Chromosomes 46. Mwanaume anachangia chromosome 23 na mwanamke anachangia chromosome 23...aaah kwan MUNGU anashndwa kuzfany kuwa kiumbe
Inaonekana huyu ana typing error syndrome[emoji23]Kajifunze kuandika kwanza
Kajifunze kuandik ten acha ubishiIli nigundue nn manake vyote Tatar vilishagunduliwa ....
ila poa ntakuja kwako unifunzeeKajifunze kuandik ten acha ubishi
Entire life? So MENOPAUSE haipogo? Mkuu una CHETI feki nini?Mtoto hawezi kukamilika kwa mbegu za mtu wa jinsia moja... La sivyo na wanawake watahesabiwa zile MP zao wanazopoteza kila mwezi yai moja moja throughout their entire life...
kweli ndio maana hatuendelei kukosoammesh ambiw utan lakin mnakazan kukosoan [HASHTAG]#Watanzania[/HASHTAG] bwan ndo man hatuendelei KUKOSOA#»