Pata picha mkeo kakuaga kuwa wana kikao kwenye kikundi chao

Pata picha mkeo kakuaga kuwa wana kikao kwenye kikundi chao

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
badae unaona hii picha anacheza mbele ya mwanaume mwenzako tena na mwanenu mgongoni
sadaaaaaa.bmp
 
Sio mbaya mwache nae afurahi ni binadamu mradi hawakulii tunda :A S-key:
 
Haidhuru kama kikundi chao kina ngoma ndani yake au huwa wana shughuli za kijamii,labda cha kumshauri tu ni kuwa kucheza ngoma na mtoto mgongoni si jambo la busara.
 
Sifa ya mwanamke ni uaminifu. Kama ana hiyo sifa mwache aende kokote, naye atakutunzia tu tunda lako
 
masikini mtoto anapepetwa kama ngano
akirudi nyumbani talaka no way
 
angemshusha mtoto asimuumize ila hapo anahitaji vibao makofi kadhaa akili zimkae sawa.
 
Duh na mtoto mgongoni!!Bora umshauri awe anakwenda peke yake. Make hii ni unyanyasaji kwa mtoto.Anastahili viboko huyu
 
Midadi ikipanda, huwa wanasahau kama kuna mtoto mgongoni!! Sio tabia njema..Mwanamke mwenye busara zake, huwezi kumkuta maeneo haya hata siku moja.
 
Midadi ikipanda, huwa wanasahau kama kuna mtoto mgongoni!! Sio tabia njema..Mwanamke mwenye busara zake, huwezi kumkuta maeneo haya hata siku moja.

itakuwa ni ile euloo! euloo! ya wanyl
 
hahaaaaaaaaaaa ivuga kwa vituko sema nashangaa huyo jamaa alikua katibu wa UN na hao wamama wamevaa nguo za CCM sasa hapo maana yake wanakampenia CCM!
 
ina maana mmeo akishika vibinti hutamind ilmradi hali tunda sio?

ahh wewe mbonma wataka kufananisha TEMBO NA PANYA?
MKEO KACHEZA tu t seems kafurahi bila kuwa na mahusiano au viashiria ngono sa wewe cha kumshka kiuno?
yeye inaonekana kawaida sana...wewe wamshka kiuno mtu mmoja....
 
Back
Top Bottom