Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
badae unaona hii picha anacheza mbele ya mwanaume mwenzako tena na mwanenu mgongoni
Duh,hii nayo ni burudani au unyanyasaji?
Sio mbaya mwache nae afurahi ni binadamu mradi hawakulii tunda :A S-key:
angemshusha mtoto asimuumize ila hapo anahitaji vibao makofi kadhaa akili zimkae sawa.
Sio mbaya mwache nae afurahi ni binadamu mradi hawakulii tunda :A S-key:
sifa ya mwanamke ni uaminifu. Kama ana hiyo sifa mwache aende kokote, naye atakutunzia tu tunda lako
Midadi ikipanda, huwa wanasahau kama kuna mtoto mgongoni!! Sio tabia njema..Mwanamke mwenye busara zake, huwezi kumkuta maeneo haya hata siku moja.
ina maana mmeo akishika vibinti hutamind ilmradi hali tunda sio?