Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 348
- 688
QR Code inaweza kumrahisishia mteja wako kupata taarifa za biashara yako kwa haraka zaidi ukilinganisha na kutafuta kawaida.
Mfano; Unaduka lako, na umechapisha karatasi yenye jina lako la instagram ya biashara kisha ukabandika ili mteja aone, kuna wakati mteja anaweza kukosea herufi moja tu wakati wa kunakili jina hilo na akaletewa biashara nyingine na sio yako, ila ungeweka QR Code basi mteja aki-scan kutumia Camera ya simu yake, moja kwa moja Instagram yako ingefuka pasipo yeye kuandika jina.
Lakini pia QR Code inaweza kutumika kusambaza mawasiliano ya biashara yako kwa kubana nafasi. Yaani, unaweza ukawa na QR Code kisha tukaitengenezea fremu nzuri yenye ujumbe huu (WASILIANA NASI) kisha mteja aki-scan QR Code hiyo anaona namba za simu za biashara yako, kurasa za kijamii, location, na website kama unayo. Uzuri wa QR Code ni ndogo, kwahivyo inakaa popote na inabeba maelezo mengi.
Nakuwekea mfano wa kadi ya delivery ya mteja wangu, kadi hii ina QR Code ambayo uki-scan inakupeleka kwenye Instagram page yake ya biashara, hii ni nzuri sana kwa wafanyabiashara. Kwa kifupi ni kwamba, unaweza kuweka chochote ndani ya QR Code, wasiliana nasi.
Karibuni sana, pata QR Code hii kwa Tsh 25,000 tu!
Tunapatikana kwa WhatsApp, SMS, Call;
0769493334, D-Tecs Group, DSM.