INAUZWA Pata sanitizer zenye alcholc ya asilimia 75 kwa bei ya jumla

INAUZWA Pata sanitizer zenye alcholc ya asilimia 75 kwa bei ya jumla

antipas

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
411
Reaction score
417
Sanitizer zinapatikana jumla tu
Bei rahisi sana Tshs 4000
Ukichukua nyingi bei inashuka

Mawasiliano: 0652472486
Ongeza la hii bei limetokana na uhaba wa ethanol sokoni

Ukichukua nyingi sana bei itashuka

IMG_5449.JPG
IMG_5439.JPG
IMG_5440.JPG


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: 911
Nikupongeze umeuza kwa bei nzuri hujaingia tamaa kama wale fisi wenye kusubiri matatizo yatokee ili wapandishe bei.
 
Hii wakiishtukia wakina sisi wa K-VANT itatupunguzia gharama
 
3500 boss per one


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa mujibu wa picha zako mkuu naona ujazo ni 500ml ss huyo ameuliza hizo ndogo ina maana kuna bei tofauti?

Hebu weka maelezo sawa km kuna ndogo na kubwa na utofauti wa bei zake maana wengine tunajua kuwa hiyo bei yako ni ya hizo tulizoona 500Ml

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom