Mto_Ngono JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 686 Reaction score 589 May 20, 2017 #41 Hizo sheria wahitaji ili!! Kama ni mwanasheria hope wajua wap pa kuzipata... Ila pia waweza zipata zote google.. We ziandike tu kama ulivyoandika hapa zote zinakuja na unazipakua kiulaini
Hizo sheria wahitaji ili!! Kama ni mwanasheria hope wajua wap pa kuzipata... Ila pia waweza zipata zote google.. We ziandike tu kama ulivyoandika hapa zote zinakuja na unazipakua kiulaini
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,896 May 20, 2017 #42 Nenda duka la vitabu la serikali. Lipo hapo karibu na posta mpya
K kiogwe JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 3,757 Reaction score 4,940 May 21, 2017 #43 Bush lawyer huyo
soskeneth JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 583 Reaction score 235 May 24, 2017 #44 Mbavu za Mbwa said: Wakuu, ninatafuta sheria hizi. Ninahitaji hard copy original *Criminal Procedures Act *Tanzania Evidence Act * Penal code *Civil Procedures Code Act Wanauzaje kwa kila kimoja? Kwa sasa nipo Dar Click to expand... Hard copy au kama soft copy chukua hata KWENYE mtandao
Mbavu za Mbwa said: Wakuu, ninatafuta sheria hizi. Ninahitaji hard copy original *Criminal Procedures Act *Tanzania Evidence Act * Penal code *Civil Procedures Code Act Wanauzaje kwa kila kimoja? Kwa sasa nipo Dar Click to expand... Hard copy au kama soft copy chukua hata KWENYE mtandao