INAUZWA Pata Simu kali samsung A5

INAUZWA Pata Simu kali samsung A5

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Habari wakuu ! Kama title inavyojieleza hapo juu, Simu ni A5 (2015), ina miezi 2 tu tangu inunuliwe, ipo in a good condition, camera ni kali MP 13, Price 400k.

Nicheki hapa 0653006425
 
hio simu ni 250,000 mkuu ukiuza sana 300,000 maana ni ya 2015, kuna ya 2016 ndo 400,000, ya 2017 ni 600,000 ni ushauri tu
 
Back
Top Bottom