oppo_chinaplaza
Member
- Sep 15, 2021
- 36
- 54
Sawa endeleeni kujitangaza.Safi sana..nilinunua oppo hapo China plaza mwaka Jana,ni simu nzuri sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
mkuu hii ni reno 6 5g1.3M parefu sana jombaa
mkuu hiyo sio reno6 angalia vizuri.hata bei ya wholeseller haifiki hivyoSawa endeleeni kujitangaza.
Reno 6.
Moshi unapata kwa 700k to 800k.
Dar es salaam upande wa Oppo mmechelewa sana.
Battery capacity ya hii?oppo reno 5f
Storage 128gb⭐️
Ram 8gb⭐️
Warranty 2year⭐️
OS :Android 11, ColorOS 11.1⭐️
Camera :48 MP +8MP+2MP+2MP⭐️
selfie camera: 32MP⭐️
warrant :2year⭐️
karibu tupo china plaza groundfloor tunaangaliana na lift tupigie 0622666111
tuna delivery popote pale tanzania
Bei 750,000tsh
View attachment 2002905
View attachment 2002906
4310mAh mkuu.Battery capacity ya hii?
Utaratibu wenu katika mauzo ukoje kwa mtu ambaye yuko nje ya Dar????karibuni
mkoani pia tunaprovide delivery.mzigo utapokea kwa bus au kama una mtu yupo dar unaweza mtuma aje kuchukua.Utaratibu wenu katika mauzo ukoje kwa mtu ambaye yuko nje ya Dar????
Mkuu mm nilikuwa mteja Tu,sihusiki chochote na hao oppoSawa endeleeni kujitangaza.
Reno 6.
Moshi unapata kwa 700k to 800k.
Dar es salaam upande wa Oppo mmechelewa sana.