Pata Simu za Samsung Note 5, Toleo maalum linalodumu

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
nchi ya China, inatengeneza bidhaa kwa ubora aina 2, kuna ambazo made for china (kwa matumizi ya ndani ya china ,zinakuwa imaa mno na mara nyingi hazina box. Pia kuna aia ya pili made for out of china(kwa kuuza nje ya China) zinakuwa na ubora wa kawaida na box. Leo natambulisha kwenu samsung note 5 (zimebaki 2) , hizi ni toleo imara mno. waranty miezi 6. Bei laki 2 na tisini na tano elf tu (tzs 295,000)

Piga 0713 039 875
Tuko Kibaha maili moja
Mikoani tuna mawakala

 
Samsung made for China huwa ni Snapdragon na zinauzwa China na US tu! Na zinakuwa Single line.

Kama yako haina sifa nilizotaja hapo juu then siyo simu ya china.

Au tuwekee hapa model number tukuambie hiyo ni simu ya Nchi gani?
 
Samsung made for China huwa ni Snapdragon na zinauzwa China na US tu! Na zinakuwa Single line.

Kama yako haina sifa nilizotaja hapo juu then siyo simu ya china.

Au tuwekee hapa model number tukuambie hiyo ni simu ya Nchi gani?

Halafu kitu cha mwisho huo mfuniko kwenye note 5 zako seems umebadilishwa siyo mfuniko uliotoka originally na simu,

Mfuniko Original kwa hizo simu za zamani hapo nyuma unakuwa na Imei number na Serial number na zinakuwa zinafanana na zilizoko ndani kwenye simu.
 
Samsung zote zinazotengenezwa nje ya Korea ni feki usidanganye watu
Huu uongo mwingine mnadanganyana mchana kweupe.

Ushatumia Samsung ya China au Marekani wewe? maana hayo mawili ndio masoko pekee ambayo simu zake za samsung hazifanani na samsung za masoko mengine duniani.

With exception kwenye S23 ultra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…