Pata solution ya mbu kwenye nyumba yenye madirisha ya allumimium

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Watu wengi wenye nyumba zenye madirisha ya alluminium wanapata tatizo la mbu kujaa ndani.
Hili linatokana na sababu zifuatazo.
1. Nyavu kuchoka na na kuwa na matundu makubwa.
2. Mafundi kutoweka raba (rubber) kwenye nyavu kuziba nafasi na hii ndiyo tatizo kubwa maana mafundi wengi wanataka kumiximize profit au hawako makink.
Infinity works, tunarekebisha tatizo hili kwa bei nafuu tu.
Tupigie au fika olyetu mpya inayopatikana tegeta njia ya kuelekea wazo.
0620775877/0758358580
Karibuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…