Sutimikoani
Member
- Nov 29, 2022
- 20
- 49
3 piece suti (koti, kizibao na suruali)- Tsh.180,000/=Bei ya ofa ndio she ngapi?
Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu.
Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya free delivery.
Wateja wetu karibuni dukani kwetu.
Tucheki kupitia namba hii; call/WhatsApp:
0712878245.
Tunapatikana Kariakoo congo na Muhonda Street Dar es Salaam.
View attachment 2435220View attachment 2435221View attachment 2435222View attachment 2435223View attachment 2435224View attachment 2435225View attachment 2435226View attachment 2435227View attachment 2435228View attachment 2435229
Toa Hela upate suti ya kiwango ndugu mteja; bahili hapendezi.Mbona bei kubwa hivyo?
Toa Hela upate suti ya kiwango ndugu mteja; bahili hapendezi.
Suruali pekee yake mnauzaje3 piece suti (koti, kizibao na suruali)- Tsh.180,000/=
Ninazo za kutosha mkuu, ila asanteni wazee wa machimbo K"koo haswa chimbo hapo karibu na mlango wa shimoni...
Kuna vitu adimu sana.
Suti za kigangster zipo niggah.... karibu dukani kwetu. Ukifika msimbazi B kituo Cha mwendokasi nipigie simu ntakufata nakupeleka dukani kwetuMi nataka suti ya ki gangster naweza kupata mkuu? Hizo naona zimekaa kiheshimiwa/kibishoo sana Kutokana na hulka yangu nafikiri sitapendeza
Ha ha ha utatokelezea kama mpoki.Yani hapa nipate jumba moja alafu niende kwenye ule uzi wa Mercedes benz ya laki 3 nichukue na Ile napiga na miwani yangu huyooo twarukaa
Una suti moja tu?Suti Mikoani tunazingatia maisha ya uvaaji ya mtanzania wa Hali ya chini. Tunawaletea suti za kiume za ofisini, vikao, sherehe na kwenye matukio maalumu Kwa bei ya ofa.
3 piece suits(koti, kizibao na suruali)
[emoji92]Suti- Tsh. 180,000/=
[emoji92]Shati- Tsh.25,000/=
[emoji92]Tai- Tsh.15,000/=
[emoji92]Cheni- Tsh. 10,000/=
[emoji92]Ua- free
Yes!, Ua ni Bure kabisa ukinunua suti kutoka kwetu.
[emoji392]Call/WhatsApp: 0712878245
[emoji2509] Mikoani tunatuma Kwa haraka na uhakika zaidi. Wateja wa Dar es salaam tunafanya free delivery au unaweza kuja dukani kwetu.
[emoji613] Tunapatikana kariakoo congo na Muhonda street, Dar es salaam.
NB: Kwa picha na maelezo mengi zaidi nicheki WhatsApp/call/ SMS: 0712878245
[emoji319] SUPPORT MOVEMENT [emoji319]
View attachment 2480424View attachment 2480423View attachment 2480422View attachment 2480426View attachment 2480427View attachment 2480428
Ok....naweka mambo sawaView attachment 2480433
Ukiview attachments inakuja hivi