Pata tenda/kuwa wakala wa kampuni hii ya kimataifa

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Kampuni ya Kimataifa ya Vemma Nutrition Company, ambayo kwa mara ya kwanza inaanza hapa Tanzania inapenda kuwatangazia wakazi wa jiji la Mwanza kuwa kutakuwa na mkutano wa Ujasiriamali wa kimataifa, kuelezea mfumo wa biashara yao ili kupata mawakala wapya ambao watakuwa na uwezo wa kusajiri mawakala wengine na kufungua matawi ili kukuza biashara zao hapa nchini hata nje ya nchi.

Mkutana utafanyika siku ya Jumamosi katika Hotel ya Victoria Palace iliyoko Kapripoint mjini Mwanza, kuanzia saa 7 hadi saa 8 mchana. Pia kampuni itatangaza nafasi za kazi na tenda kwa nafasi zitakazokuwepo katika hatua zake za kufungua tawi kubwa mjini Mwanza.

Hakuna kiingilio, lakini pia una nafasi ya kuwaalika wengine unaopenda washiriki katika mkutano huo. Atakaye endesha mkutano Huo ni Mjasiriamali wa kimataifa Mr. Kenny kutoka USA. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Abel kwa namba 0768 955185.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…