Pata tiba ya magonjwa

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
869
Reaction score
961
Habarini wapendwa!

Anaitwa Dokta Cosan anatoa tiba kwa wanaosumbuliwa na matatizo yafuatayo.

1) Nguvu za kiume

2) Ngiri

3) Kisukari

4) Fangasi na mwasho sehemu za siri

5) Kushindwa kuzaa kwa wanawake

6) Kunuka miguu

7) Magonjwa ya ngozi

8) Kiungulia

9) Mwanamke baada ya kujifungua anatoa dawa ya kutoa ile harufu na kuyarudsha maungu yake kama yalivyokuwa awali

10) Utiai

11) Kwa wanawake kushindwa kuziona siku zake.

Dk Cosan hapo mwanzo alikuwa anatoa tiba katka Hospital mbalimbali kwa kutumia dawa za kisasa, Lakini kwa sasa anatoa tiba zake kwa kutumia Mitishamba.

Mimi na mke wangu ni mashuhuda tulipatiwa ufumbuzi wa matatizo yetu kwa Dokta Cosan MUNGU AMBARIKI SANA.

Ofisi zake zinapatikana mikoa yote hapa Tanzania na unaletewa huduma popote pale ulipo.

Kwa Mawasiliano zaidi mpigie kwa +255765656793
 
Wewe ulitibiwa hayo magonjwa yote? Duuu aise pole sana lakini kama sivyo peleka hili tangazo sehemu husika
 
Mbona kama mtoa mada ndie mwenye ofisi? Maana maelezo yanaeleza ofisi na kazi zaid ya ushuhuda
 
daktari anatoa tiba hospitali mbali mbali hapa tanzania!!

huu uganga wa jadi umeongezewa ubunifu siku hizi.
hawavai matunguri tena wameingia kwenye komputer na mitandao.
 
daktari anatoa tiba hospitali mbali mbali hapa tanzania!!

huu uganga wa jadi umeongezewa ubunifu siku hizi.
hawavai matunguri tena wameingia kwenye komputer na mitandao.

Ndo maana hata ww cku hz hutumii kalamu kuandika,,unatumia komputa na mitandao ktk kuandika
 
Ndo maana hata ww cku hz hutumii kalamu kuandika,,unatumia komputa na mitandao ktk kuandika

sasa sema kuna mganga wa mitishamba.
usitudanganye mambo ya alikuwa daktari hospitali mbali mbali ha tz.
 
Daah, ulikuwa unaumwa sana...., pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…