Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa.

Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa.

magabelab

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
371
Reaction score
190
Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknolojia ya kisasa,
Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili,
hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!,
Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa. Lete hayo maokoto wewe ... Upate system ya ukweli.
Acha ushamba.
a.png


b.png


c.png

d.png

e.png
f.png
 
Very poor taste of design .... Keep working on design chief .bado mwonekano uko ovyo sana
 
siku hizi AI inatengeneza wavuti ,tunakoelekea hata maprogrammer wata kosa kazi
 
Back
Top Bottom