pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Ulitaka kuona sample zaidi tafadhali nichek WhatsApp 0763772636 material nzuri Sana hutojutia Msimu huu wa baridi
Nilijua tracksuti zile za michezo kumbe ni hizi
Za michezo ni zile ambazo wachezaji wanazivaa wakati wa mazoezi.Ni izo boss
Za michezo ni zile ambazo wachezaji wanazivaa wakati wa mazoezi.
AsanteNimekuelewa boss nami nimekujibu Ni izi ndo zilizopo sina zile za mazoezi boss
Nataka ya miaka 5 na 9,blue na na Nyekundu,nipo Dar nitazipataje?