Ninauza unga wa mahindi sembe@800-kg kwa bei ya jumla. 1000-kg kwa rejareja,
pia dona iliyochanganywa na unga wa mihogo @900-kg kwa bei ya jumla. 1100-kg kwa bei ya rejareja,
unga wa lishe wenye mchanganyiko wa mahindi,soya,ngano,karanga,ulezi,mchele na mtama@3000-kg kwa bei ya jumla.. 3500-kg kwa bei ya rejareja
pia mahindi ya makande yenye mchanganyiko wa kunde na maharagwe,maharagwe na njegere,@2500-kg
pia asali ya nyuki wadogo @17000 -1/2litre inapatikana
asali ya nyuki wakubwa @12000-1litre
ubuyu wa Zanzibar unaanzia 500
vifungashio ni Imara sana ahsanteni na KARIBUNI
0714893685
Ununuzi wa bidhaa huzingatia vitu vingi,kuanzia usafi,kauli ya muuzaji na kiwango cha ubora,
katika bidhaa zote hizi sinunui kwa mtu ninatengeneza mwenyewe nyumbani kama ninavyotengeneza chakula changu na familia,
asali nafahamu ubora wake kwa kuwa nachukua kwenye mizinga ya wanaonizunguka,pia ninakuletea mzigo mpaka ulipo. hivyo basi hii/hizi ni sababu za kukuvutia wewe kuja kununua kwangu