Nimejifunza kitu kimoja, kama kila anayepata ushauri humu ndani na akatekeleza na kuleta mrejesho kama wafanyavyo baadhi ya watu wachache, basi ingezidi kujenga ari ya Ujasiriamali, ninaanza ufugaji wa kuku kwa sasa ndio naandaa material za kujenga banda (kuku wa kienyeji) nitatoa mrejesho kadiri nitakavyotekeleza.