Ushauri kilimo
Member
- Jun 12, 2019
- 6
- 1
sawa mkuu, maoni yako yanaheshimika sana. JF ni jukwaa huruMbna ni kilimo rahic ila mnachukulia kigumu hadi kujivika utaalamu wa bustani.. Mnatisha watu wakidhan ni gharama Sana
Hapana kiongozi wangu, tunauza ujuzi na experience. makubaliano huwa kati ya client na consultant. kwaiyo usiogope. karibu sanaUngedokeza japo gharama mkuu
Ama mnatoa huduma bure?
No 3,6 na 7 natamani kujua gharama yake zaidiHapana kiongozi wangu, tunauza ujuzi na experience. makubaliano huwa kati ya client na consultant. kwaiyo usiogope. karibu sana
Habari Veronica, ningependa kujibu post yako ili kupata mwanga zaidi wa huduma zetu:No 3,6 na 7 natamani kujua gharama yake zaidi
Dar vip kunapatikana huduma yenu?Habari Wadau,
Sisi ni Wataalam wazoefu wa shamba ambao tumejikita kwenye kilimo upande wa horticulture. Tunawasapoti wakulima wadogo na wakubwa kwa kutoa huduma ya consultation kwenye mashamba (open field na greenhouse ). Huduma tunazotoa:
1. Initial evaluation ya shamba kabla ya Kulima
2. Kuandika business plan na cost-benefit analysis ya mazao ya horticulture
3. Kufanya design ya umwagiliaji kwa teknolojia yoyote ikiwa ni Pamoja na kufunga drip, sprinklers au furrow design
4. Kufunga greenhouse
5. Kuhudumia kitalu hadi shamba linapovunwa (agronomic services )
6. Kushauri muda sahihi wa kupanda ili kuvuna wakati wa soko zuri
7. Kukuunganisha na wanunuzi katika baadhi ya masoko nchini
Tunapatikana Arusha,
Mawasiliano yetu:
📩 ushaurikilimo@gmail.com
📞 0756-219668
Nikihitaji huduma no 7&8 kama ulivofafanua hapo mtanichaji bei gani?Habari Veronica, ningependa kujibu post yako ili kupata mwanga zaidi wa huduma zetu:
3. Kuhusu kufunga teknolojia yyte kama ulivouliza, kila teknolojia iko na gharama tofauti na nyingine. kwa mfano, teknolojia basic kama furrow irrigation haiwezi kuwa gharama sawa na drip irrigation. kadhalika drip irrigation na sprinkler ni dhahiri gharama iko tofauti. kwaiyo ni muhimu kufahamu unatumia teknolojia gani, na una ukubwa kiasi gani cha eneo unachohitaji kukifunga
6. kuhusu kushauri muda sahihi wa kupanda ili ku-tap soko zuri. sisi tunahamasisha na tunahudumia wakulima wanaofanya kilimobiashara. ili uweze kufanya kilimo kiwe biashara ni muhimu kujua ulime NINI na LINI. Hii itakusaidia kujua ukiingia sokoni hukuti bidhaa zikiwa mafuriko jambo linalofanya bei iwe chini. tukiwa wazoefu wa masoko ya Tanzania, tutakushauri ulime kitu gani, kwa wakati gani.
7. Kukuunganisha na wanunuzi katika baadhi ya masoko nchini. Napenda tu kukwambia kwamba tunakuwa na taarifa za bei ya baadhi ya mazao katika masoko makubwa yote nchini, sio tu taarifa za bei, lakini pia mawasiliano ya baadhi ya wanunuzi wa mazao katika masoko hayo. wahenga walisema ukiwa na taarifa unakua na confidence, thus, knowledge is power!
natumai nimetoa ufafanuzi wa maswali yako.
At your service.
Habari Valentina , makubaliano yanaweza kufanyika baina yetu na wewe wala hakuna shida. Gharama zetu ni rafiki na hazijakaa kibiashara zaidi maana tunahitaji kutosheleza soko la horticulture lakini pia iwe win-win situationNikihitaji huduma no 7&8 kama ulivofafanua hapo mtanichaji bei gani?
hahahaha mkuu acha vijana wapate mlo ndio elimu yetu hiyoMbna ni kilimo rahic ila mnachukulia kigumu hadi kujivika utaalamu wa bustani.. Mnatisha watu wakidhan ni gharama Sana