Pata viwanja maeneo ya Dege-Kigamboni kwa shs million 10 kwa Acre moja, jumla ya hecta zipo 10.

Notifier

Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
91
Reaction score
12
Sifa za kiwanja ni kama ifuatavyo…..

  1. 1 km kutoka barabara ya lami iandayo Kimbiji.
  2. Huduma za jamii kama maji na umemevipo.
  3. KImepakana na mto Nguva wenye maji.
  4. Pia lina mikorosho.

Tafadhali kwa uliye serious ni-PM kwa maelezo ya ziada na appointments.

Karibuni wote...........tuijenge nchi yetu.
 

Huko si kuna mgogoro na tibaijuka au vipi
 
Dege imepakana na mwongozo au kimbiji? 10mils kwa 70m kwa 70m?
 

Weka namba ya simu na picha za hayo maeneo!
 
Wewe Notifier unajua tofauti ya acre/ ekari na Hectre/hekta? Umesema zipo hekta 10. Anyway umbali gani kwa km toka feri?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeme umefika? Mm nataka ekari moja nataka nifuge kuku mkuu, nijuze kama upo umeme nije kuona tufanye biashara mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…