Patcho Mwamba 'ala vitasa' baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Uyu itakua wamemfi.... Pia , ila hawajasema tu..... Yani akukute na mke wake afu akuache ivi ivi
 
Kosa likwapi kwa Mke au Mme??kama mke ana tabia hizo kwann usiachane nae???MKE NWEMA HUIJENGA NDOA Yake moumbav huibomoa
 
Lakin si walikuta na yy ameshamega au alikuwa bado siiooo,Wameigiza wenzake ati tugawane maumivu ndio hayooo!
 
Allerge hii sijawah ona, kama alikuwa anajua akinywa anakuw hivi why kanywa? Bt hata jua yeye aisee

Na ww acha kukomalia ishu za mitandaoni, kama unadai kafumaniwa taja,
1.Ni eneo gani au guest gani hapa nchini.
2.Mke wa nani, na anaitwa jina gani?
3.Na chanzo cha habari ni kipi?
 
jaman achen unafk na umbea, patcho kapost ile pcha mwenyewe insta anaomba ushaur, watu et kafumaniwa, muweken uyo mtu alofumaniwa nae tumuone bac, mmmmh!!!! walmwenguuu
 
jaman achen unafk na umbea, patcho kapost ile pcha mwenyewe insta anaomba ushaur, watu et kafumaniwa, muweken uyo mtu alofumaniwa nae tumuone bac, mmmmh!!!! walmwenguuu

Weka Screenshot ya insta ya mwamba akielezea hilo tukio.
 
Na ww acha kukomalia ishu za mitandaoni, kama unadai kafumaniwa taja,
1.Ni eneo gani au guest gani hapa nchini.
2.Mke wa nani, na anaitwa jina gani?
3.Na chanzo cha habari ni kipi?

Acha kupanik kijana, nimeuliza maswali hapo then nikamaliza kusema atajua yey. Wew povu linakutoka nin.
 
Acha kupanik kijana, nimeuliza maswali hapo then nikamaliza kusema atajua yey. Wew povu linakutoka nin.

Dume kuwa mmbea si dalili njema kwa rijali, hebu kapime tena nguvu za kiume.
 
huyu jamaa alikuwa anakula mama mmoja mke wa jamaa anafanya kazi Tra sijui ndiyo huyo kwasababu lile jimama lina mpa mpaka prado ya kutembelea .

Bora Umesema Wewe Manake GENTAMYCINE Nina Damu Ya Kunguni Humu Na Nikifunguka Kwa Masuala Mbalimbali Humu Naonekana Nina ZOZA Tu au Ni MCHOCHEZI. Uliyemtaja Hapo Ndiyo Mpango Mzima Wa Muonekano Huo Wa Sasa Wa Patchou Mwamba.
 
Uyu itakua wamemfi.... Pia , ila hawajasema tu..... Yani akukute na mke wake afu akuache ivi ivi

Wamemfi......Ndiyo Kiswahili Gani Na Cha Wapi? Kwani Kulimalizia Tu Hilo Neno Lote Kuna Tatizo Gani? Mbona Mods Wako Powa Tu! Hebu Lirudie Na Uliandike Upya Na Lote Kwa Ukamilifu Wake Kwani Linaleta Maana Halisi Hata Kwa Ki BAKITA.
 
hahahahaaaasas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…