M MINAKI Member Joined Nov 11, 2010 Posts 47 Reaction score 26 Aug 4, 2011 #1 Habari wanajamii! Naomba kwa anaefahamu range za Mishahara kwenye Nafasi ya Program Officer kwenye NGO inayoitwa Pathfinder International! Nimeitwa kwenye Interview wiki ijayo! Thanks very much kwa ushirikiano wenu kwenye hili ombi langu!
Habari wanajamii! Naomba kwa anaefahamu range za Mishahara kwenye Nafasi ya Program Officer kwenye NGO inayoitwa Pathfinder International! Nimeitwa kwenye Interview wiki ijayo! Thanks very much kwa ushirikiano wenu kwenye hili ombi langu!