pathology!!!

B the Don

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
79
Reaction score
4
naomba mnijuze pathology inasomwa na madaktari tu ama mtu yeyote anayesoma afya? Au kama unajua kati ya hizi: phamarcy, nursing na medical labolatory, fucult ip wanasoma pathology?.
 
pathology ni somo
kma unaongelea kma somo au specility?
Histopathologist naye ni pathologist
haematologist bado ni pathologist
microbiologist naye ni pathologist
ilmrad tu awe na masters ya kitu husika
unaweza kusoma bachelor ya phamacy then ukachukua masters of anatomy bado utakuwa pathologist
 

Nahisi jibu lako halijakidhi matakwa ya mleta uzi..
*not an offence
 
Utafanyaje kozi ya utabibu bila kusoma magonjwa(pathology)??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
naomba mnijuze pathology inasomwa na madaktari tu ama mtu yeyote anayesoma afya? Au kama unajua kati ya hizi: phamarcy, nursing na medical labolatory, fucult ip wanasoma pathology?.

Pathology ni Basic Subject...Wote ambao mnachukua degree za Afya lazima msome...
 
soma medical laboratory bachelors halafu utaweza kuja kuspecialise ukichukua masters.
 
Basic Subjects kwa degree za Afya
Anatomy
Physiology
Biochemistry
Pathology
Microbiology
Parasitology and medical ontomology
Epidemiology and Biostatistics.......Wooote lazima msome
 
Basic Subjects kwa degree za Afya
Anatomy
Physiology
Biochemistry
Pathology
Microbiology
Parasitology and medical ontomology
Epidemiology and Biostatistics.......Wooote lazima msome

Nimekupata mkuu! unajua mimi nilikuwa na maana yangu kuuliza iv, nilishawai ckia hilo ni somo ambalo ni basic kwa wanaafya wote lakin nilikua nikitembelea kwenye website ya IMTU, chuo ambacho nimechaguri kwenda kusoma BSN so nilikuwa nkisoma vipindi vyao kwa semister zote 8, nilichokuja kugundua kwamba pathology ipo kwenye MD lakin sikuiyona kwenye BSCN.source ingia website yao...www.imtu.ac.tz
 
Pathology kwa kina husomwa na MD na DDS, wengine husoma applied pathology, kwa sababu itamsaidia katika kumtibu mgonjwa, kwa mitaala ya vyo vingi vya afya hapa Tanzania hasa nzungumzia vinavyotoa taaluma ya udaktari wa binadamu, anayeweza kuspecialize pathology hasa ni yule ambaye amesoma MD(DOCTOR OF MEDICINE) au inayofanana na hiyo au DDS(Doctor of Dental Surgery)
 

Kwaiyo unamaanisha kunamasters ya pathology(pathologist)?
 
Basic Subjects kwa degree za Afya
Anatomy
Physiology
Biochemistry
Pathology
Microbiology
Parasitology and medical ontomology
Epidemiology and Biostatistics.......Wooote lazima msome

Naisi kama umesahau clinical phamacology!
 
Kwaiyo unamaanisha kunamasters ya pathology(pathologist)?


masomo yote ya basic science yana master(pathology,anatomy,biochemistry,physilology,microbiology,parasitology,pharmacology)
master of science 2years=anatomy,biochemistry,physiology,parasitology,pharmacology, kwa kiasi kikubwa hutumika kufundisha,research

master of medicine in pathology 3years=huhusika na clinical activity zinazohusiana na pathology,pia hufundisha+research.
 

Asante kwa kunielimisha. Lakin ktk izo masters zote yopi ni nzuri zaidi?.
 

Pathology inasomwa na hiyo
 

Pathology inasomwa na kozi zote ulizozitaja hapo juu , ni core course kwa medical students ... Pia me nimechaguliwa kusoma Medical Laboratory Technology hapo IMTU ila sijaona hizo course content kwenye website yao , pia website ya imtu naona haina format nzuri ..... Ila niliangalia course content za Medical Laboratory science na pharmacy za Bugando Pathology ipo hata nursing ya udom pia wanasoma pathology ... Also nimewauliza rafiki zangu waliotangulia wanaosoma MD wanasema almost course zote za Medical wanasoma pathology ....
Kwa msaada embu nisaidie direct link ya course content kwenye website ya imtu...
 

Samahani Kidole hivi Functional Anatomy ndio sawa na Pathology maana inanichanganya kidogo nilikua nimeona course content yenye functional anatomy and histology , wakati natafuta notes zake nikakuta kama functional Anatomy na anatomy ni tofauti hivi kwamba functional anatomy ndio sawa na Pathology.... Msaada pls
 

Ingia www.imtu.ac.tz halafu shuka chini kabisa utakuta neno CURRICULUM then ingia pale halafu niambie umeona nn? Then nenda kwenye BSN tafuta pathology kama utaikuta lakin kwenye lab ipo.
 
m2 wa lab ni lazima asome pathology kwani bila hvyo hawezi kugundua any anatomical,histological and physiological change or deviation from normal,na nimuhimu m2 wa mahabara akavijua kuliko hata doctor kwani ndio msingi wa medicine,huwezi kutibu bila kujua tatizo,kwani pathological changes zinaweza kuwa post or ant morterm,according 2 us animal health
 
Ingia IMTU - Home - Welcome Note halafu shuka chini kabisa utakuta neno CURRICULUM then ingia pale halafu niambie umeona nn? Then nenda kwenye BSN tafuta pathology kama utaikuta lakin kwenye lab ipo.
sawa mkuu nimeiona hiyo sehemu kweli nyie wa nursing hamna pathology sijui ni kwa nini..! Naona semester ya kwanza tutashirikiana kwenye anatomy na biostatistic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…