Patient kills another, injures 8 at Nanyuki Hospital

Patient kills another, injures 8 at Nanyuki Hospital

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Familia moja kutoka Timau inatafuta haki ya kisheria baada ya mtoto wao wa kiume mwenye miaka 42 kuuawa katika mazingira yasiyoeleka katika hospitali ya Rufaa ya Nanyuki alikokuwa akitibiwa

Inadaiwa mgonjwa huyo, Ronney Mutuma aligongwa kichwani na mgonjwa mwenzake kwa kutumia kitu kisicho na ncha kali na kufariki jana usiku Januari 26

Katika siku hiyo hiyo, Mtuhumiwa ambaye ana miaka 48 anadaiwa kuanzisha vurugu kwa kuwajeruhi wagonjwa wengine sita pamoja na Wauguzi wawili

OCPD Kizito Mutoro kutoka Laikipia Mashariki amesema wanachunguza tukio hilo lakini pia amewaonya wafanyakazi wa hospitali hiyo kuwa makini na wagonjwa wa aina hiyo
=======

A family in Timau is seeking justice after their 42-year-old son was killed on Saturday night in unclear circumstances at Nanyuki Teaching and Referral Hospital where he had been receiving treatment.

Ronney Mutuma was allegedly hit by a male patient using a blunt object on the head before he succumbed to the injury later in the night.

The County Minister for Health, Joseph Lenain, said the deceased was attacked by a patient who had been receiving treatment for epilepsy and hypertension.

On the fateful day, the accused aged 48 is said to have turned violent, killing the deceased and injuring six other patients and two nurses.

“The deceased who was being treated for diabetes was diagnosed three days ago and admitted at the county hospital,” Lenai said.

Laikipia East OCPD Kizito Mutoro said that they are investigating the matter, but also cautioned hospital staff to be more careful with such patients in future.

The body of the deceased was taken to Nanyuki Referral Hospital Mortuary while the accused was put under isolation as investigations continue.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenali imekuwa maembe kama Simba Fc yani wanatwangwa nyumbani mbele ya mashabiki wao sugu...bure kabisa.
 
Mwaswas
Arsenali imekuwa maembe kama Simba Fc yani wanatwangwa nyumbani mbele ya mashabiki wao sugu...bure kabisa.
Mwaswast usijaribu kuongea mbaya kwa timu yangu ya baba. Nakwom na na nyahunyooo, lol!....
 
Kabisaaaa!. Sisi ni wale bado tumekwamilia ngozi mithili ya kupe. Hatutaki kujua Kama ng'ombe yu hai ama laa!...
Ni kama Mtoto anyonyae matiti ya mama aliemufia. Mayatima nawahurumia naona ManU wanawanusa mkunduste.
 
Back
Top Bottom