Patna wa uvuvi

Saracen

Senior Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
145
Reaction score
63
Natafuta patna kwenye biashara ya uvuvi

ninayo leseni ya kuniruhusu kuvua kwenye pwani ya Tanzania.

au kama kuna mtu anayo data base ya makampuni ya nje yenye nia na shughuli hii pevu ya kuvua basi mimi naatikana kwenye anuani hiii:

magomeni@gmail.com

lakini kwa faida ya wengine unaweza pia weka info zingine wazi ili wengine wanufaike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…