Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.

Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.

Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.

Hii ndio taarifa JF wanapendaga
 
Haishangazi, GDP per capita ya Tanzania imekuwa na onezeko dogo Sana tangu 2016, mwenendo WA uchumi WA Tanzania chini ya Samia sio mzuri kabisa hata Kwa kumtazama exchange rate ya tZ ndani ya mwaka mmoja utaliona hili.

Haishangazi, GDP per capita ya Tanzania imekuwa na onezeko dogo Sana tangu 2016, mwenendo WA uchumi WA Tanzania chini ya Samia sio mzuri kabisa.

Mama mpaka 2030 haah
 
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.

Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.

Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.

Waongo
Waanze nao kujiandaa
Corruption to the maximum
Hawa ndio wanajua uchumi wa Africa.
Hawa ndio walipashwa kufutwa kuliko kuwaaadhibu WHO
 
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.

Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.

Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.

Cc. Minister of Finance (Mr. 1st Class Economist)

Bc.
1. Governor BoT
2. Chair CCM
3. Vice chair CCM

Aione kwenye file
1. Lucas Mwashambwa
2. johnthebaptist
 
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba 2024.

Mtengeneza data wa IMF, mchakato unaoruhusu ulinganifu wa utendaji wa uchumi wa dunia, unatoa mwanga juu ya viashirio vingine muhimu vya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na ukuaji halisi wa Pato la Taifa, viwango vya uwekezaji, mizani ya fedha, na nafasi za madeni kote Uganda, Tanzania na Kenya.

Takwimu za IMF zinathibitisha kuwa mwaka 2025, Pato la Taifa la Uganda kwa kila mtu (bei za sasa) litafikia dola 1,300, ikipita dola 1,270 za Tanzania.

Kwa huyu kiongozi mpumbavu tuliye naye tutapitwa na kila nchi
 
Ila kwa upande wa nominal GDP bado Tanzania (USD 79 mln) imeiacha kwa mbali Uganda (USD 56 mln)

Population ya Tanzania ni kubwa ukilinganisha na ya Uganda ni sababu nyingine ya Uganda kuizidi Tanzania kwenye GDP per capita

Kwa sababu GDP per capita unaipata kwa kuigawanya nominal GDP kwa population ya nchi
 
Hizo ni estimation kama zitafikiwa, 2025 ndio inaanza ndio Kwanza tupo Feb,

As of now GDP na Gdp per capita ya Tanzania bado ipo juu Vs Uganda.
 
Ila kwa upande wa nominal GDP bado Tanzania (USD 79 mln) imeiacha kwa mbali Uganda (USD 49 mln)

Population ya Tanzania ni kubwa ukilinganisha na ya Uganda ni sababu nyingine ya Uganda kuizidi Tanzania kwenye GDP per capita

Kwa sababu GDP per capita unaipata kwa kuigawanya nominal GDP kwa population ya nchi

Tofauti ya watu around 10million sio kitu cha kujitetetea, Tanzania ilipaswa iwe mbali sana, ni aibu kujilinganisha na viinchi vidogo vidogo kama Uganda au hata Kenya.
Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye kila aina ya raslimali.
 
Uganda nadhani hatuipi maua yake, ila wanakuja kwa kasi sanaa,
Kwa miaka mingi uchumi wao umekuwa unakuwa kwa 7%+
Tanzania imekuwa na ukuaji si haba wa nominal GDP, mwaka jana (2024) imeingia kwenye top 10 ya Africa's largest economies

Imei-overtake Ghana ambayo kwa miaka mingi imekuwa kwenye top 10 sasa imekuwa ya 11
 
Tofauti ya watu around 10million sio kitu cha kujitetetea, Tanzania ilipaswa iwe mbali sana, ni aibu kujilinganisha na viinchi vidogo vidogo kama Uganda au hata Kenya.
Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye kila aina ya raslimali.
Sasa kwa akili zako 10 million ni ndogo?

Halafu GDP per capita sio kipimo sahihi cha kupima strength ya uchumi wa nchi

Mfano China's GDP per capita ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine lakini inapokuja kwenye suala la nominal GDP ni taifa namba 2 kwa uchumi mkubwa duniani.

Nominal GDP ndio kipimo hasa cha strength ya uchumi wa nchi kingine ni GDP in Purchasing Power Parity (GDP PPP)

Tulinganishe Uganda na Tanzania tuone ipi iko vizuri

Tanzania GDP PPP: USD 2,787
Uganda GDP PPP: USD 2,339

Tanzania is ahead of Uganda in both basic aspects of strong economy

Back
Top Bottom