Pato la Taifa linapatikanaje?

Pato la Taifa linapatikanaje?

Joined
Feb 9, 2021
Posts
6
Reaction score
16
Wakuu naomba mnijuze juu ya kitu kinachoitwa pato la taifa huwa linahesabiwa vipi.

Je ni majeti yetu?

Madeni na makusanyo ya Serkali?

Natanguliza shukrani.

=======

Mchango wa Mdau
Pato la taifa kwa maana Gross nationa Income ni kiasi cha mapato ambacho raia, biashara, inatengeneza kutoka sehemu mbalimbali duniani na ndani ya nchi

Pato la taifa linategemea pia thamani ya sokoni ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya nchi.

kwa kutumia gross domestic product kifupi GDP ndipo pato la taifa(GNI) linaweza kupatikana .

GNI ni thamani ya bidhaa ama huduma ambazo nchi imezalisaha bila kujali wapi hiyo bidhaa imezalishwa cha msingi mzalishaji ni wataifa husika.

Ila GDP ndio hutumika sana.

Pato la taifa kwa mtu mmoja linapatika kwa kuchukua GNI gawanya idadi ya watu wa taifa husika.

Kwa hiyo pato la taifa sio kodi wala makusanyo ya serikali bali ni kipatao cha biashara na wakazi wataifa husika wanachokipata toka ndani ya nchi au nje.

Hivyo kama makampuni, wafanyabiashara, raia tu wakawaiida, serikali nk zinazilisha bidhaa au kutoa huduma na kuziuza ile thamani pesa uliyolipa ya huduma ama bidhaa ndio pato lenyewe.

Pato la taifa litakuwa kubwa endapo
1. Raia wa taifa husika wana uwezo wa kununua bidhaa za kutosha ambalo linasababisha uzalishaji kuongezeka.

2. Bidhaa zinauzwa nje ya nchi ni nyingi kuliko zinazoingizwa ndani ya nchi.

3 Matumizi ya serikali yasiyohusisha pesa zilitokana na kodi.

4. Uwekezaji kuwa mkubwa.

Nchi kama marekani ina pato kubwa la taifa kwa sababu wamarekani wana nguvu kubwa ya manunuzi na raia wengi ni middle income earners.

Nchi kama china, korea,taiwan na japan zina pato kubwa sababu wanauza bidhaa nyingi nje yq nchi.

Nchi kama singapore na hong kong china zina pato kubwa kwa sababu zilivutia wawekezaji toka nje (Foreign Direct Investment).

Sisi tanzania bado tuna uzalishaji wa chini mno hata tofauti ya pato la taifa kati ya kenya na Tanzania imezidi kuongezeka.
 
Pato la taifa kwa maana Gross national Income ni kiasi cha mapato ambacho raia, biashara, inatengeneza kutoka sehemu mbalimbali duniani na ndani ya nchi.

Pato la taifa kwa maana Gross national Income ni kiasi cha mapato ambacho raia, biashara, inatengeneza kutoka sehemu mbalimbali duniani na ndani ya nchi

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom