PATORANKING Ft DIAMOND PLATNUMZ -LOVE YOU DIE Scene Aliyo imba Diamond Platnumz

Joined
Oct 4, 2016
Posts
49
Reaction score
81

Miongoni mwa nyimbo ambazo zilikuwa zina subiriwa kwa hamu huku ikipata airtime kubwa ya promo kutoka vituo vikubwa duniani Kama Mtv Base ni wimbo mpya ambao umetoka leo wa patoranking akimshirikisha Superstar kutoka Tanzania Diamond Platnumz


Hiyo ni sehemu ya scene ambayo ameimba diamond platnumz katika wimbo huo ambao unapatikana katika platform mbali mbali kama sportfy



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona Mondi kama kapanic vile
 
Huyu dogo sio binadamu wa sayari hii anatakiwa akaishi sayari ya kina messi.ni mjanja sana anawazidi mpaka viongozi wetu akili.sio kwa kujituma huko na anajiamini sana wamejaribu kumshusha lakini wapi.du kweli we ni jeshi la mtu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…