Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu

Mkuu umenikumbusha Patrick Lumumba kilikuwa chuo maarufu miaka ile ya 60 hadi kuanguka kwa Soviet
Nakumbuka vijana wengi waliokuwa wanasoma USSR walikuwa wakisafiri na ndege kubwa sana ijulikanayo kwa jina la Toplov.kutokea Dar-es-salaam via Aden Yemen hadi Moscow.

Lakini ilikuwa vigumu kuwatambua majasusi wa Kitanzania waliopata recruitment na serikali ya Soviet.
Siku mmoja classmate wangu katika shule ya sekondari aliekuwa tena rafiki yangu alitoka Soviet masomoni tulikutana baa mmoja maarufu Dar
Lakini baada ya week mmoja aliuwawa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za kisasa.Hawakuchukuwa kitu chochote,ila habari zisizo rasmi wanasema huyo classmate alikuwa KGB,lakini aliporudi Bongo akawageuka wakammaliza.
 
Thanks
 
how comes kikaitwa jina lake?
Patrice Lumumba aliuawa na Mobutu (CIA-backed Mobutu Thuggish Regime) baada ya kugundulika ya kuwa alikuwa anaomba msaada wa kijeshi kutoka USSR.

Chuo kilipewa jina la Patrice Lumumba kwa heshima ya huyo mwanaharakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…