Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu

Ujamaa ni mfumo ulioshindwa vibaya,umepitwa na wakati na umepotea kabisa ukiwa umeacha historia ovu na za kutisha sana.
Kila jambo lina msimu, kuja na kuondoka, hata ufikapo juu kifuatacho kudondoka. Hata capitalism kuna siku utadondoka maybe. Who knows???
 
Kila jambo lina msimu, kuja na kuondoka, hata ufikapo juu kifuatacho kudondoka. Hata capitalism kuna siku utadondoka maybe. Who knows???
Wanahofu ya kushindwa na Magufuli Wanajua Magufuli lazima ashinde kwa 98% ndio maana hawataki wapambane naye.
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana.
 
Alikuwa mu Algeria alikuwa Waziri ktk serikali ya rais Boumedienne.
Boumedienne alipopinduliwa Boudia akakimbilia Ufaransa huko ndio akaingia rasmi ktk shughuli za kigaidi.
Mohamed Boudia alikuwa waziri wa utamaduni na michezo katika serikali ya Boummedien,alikuwa vizuri katika theatrical art pia mpiga gitaa mzuri,serikali ilipoangushwa alikimbilia Cuba,lakini shida yake alikuwa hana elimu ya darasani maana alisomea chini mwembe wakati wa mapambano ya vita vya uhuru hivyo wacuba walichukua muda kidogo kumkubali kuwa mwanamapinduzi kweli,baadae walimtambulisha kwa ujumbe wa USSR uliotembelea Cuba kupitia ubalozi wao,wakaona kuna haja ya kumpeleka shule,ndio akaenda Patrice Lumumba na kukutana na Vladmir Ramirez El Sanchez yaani Carlos The Jackal ambaye walikuwa kama mapacha.
 
Naaam, safi sana hii mkuu...
 
Tena pacha haswaaa kwa maana walishibana kweli kweli hao vijana
 
wengi waliotoka kule machizi kuna vitu nadhani wanawapaga kuna ambao nawajua yaani ni nusu kaputi sometimes yes sometimes No tena Big NO
 
Tunapendekeza Rais ajaye awe na haiba kama za mama Samia ili aendeleze ukuaji wa uchumi wa kati.
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana.
tufanye muda umeongezwa, na marais wanaokuja baada ya kifo chake, wanakuta katiba inayo waruhusu kuongoza bila kikomo..

hivi uzalendo ni kumsifia mtu kwa ajili ya tumbo lako na kunufaika kwako binafsi, ama uzalendo ni kwa taifa lako?

kama alikuwa anafanya kazi nzuri, huoni mama anabadili kimoja baada ya kingine katika unacho kiita kazi nzuri?
 
Wanawafundisha Kuwa masikini?
 
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana 2020 kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…