Vipi kama kapata deal nono zaidi ya lile la Yanga? Mtasema amesagiwa kunguni?Haijajulikana amefuata nini.
Ila watu wachawi sana,mmemsagia kunguni mwenzenu kuwa hafiki pasaka na hajafika kweli ilaCV yake imeboreahwa
Ngoja tuendelee katazamaUchebe
Madelu ndio zake hizo, hata fei aliletwa na madeluUchebe kaletwa na Mwigulu?
Mnakurupuka. Muda muafaka ukifika watasema.Ramovic kapata deal Algeria mbona Yanga SC wapumbavu hawasemi
washakuwa madalali hawaHeee Uchebe tena