The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Nov 15, 2016 #1 Watu masikini wanamuona MO ndo kila kitu Simba sababu ya akili fupi Lakini huyu Patrick Kahemera ni kichwa now na muhimu kuliko hata huyo Mo na iwapo atasikilizwa basi Simba itafika mbaali saana
Watu masikini wanamuona MO ndo kila kitu Simba sababu ya akili fupi Lakini huyu Patrick Kahemera ni kichwa now na muhimu kuliko hata huyo Mo na iwapo atasikilizwa basi Simba itafika mbaali saana
U Unknown2 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 2,352 Reaction score 5,055 Nov 15, 2016 #2 Si katibu mkuu kabisa.... Ngoja tumpe muda.
jaykiwele JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 552 Reaction score 414 Nov 15, 2016 #3 Yuko vizuri na anaonyesha anajua nini anafanya