Kavunja record ya "KANUMBA"?????
Sasa mambo ya goli la tano tena yanatoka wapi mkuu?mkuu sijajua kama walio kuja walikuwa na lengo la kuvunja record.
Ikumbukwe mafisango ndo alifunga goli la tano katika mechi ya juzi ya tano bila.
Asilimia kubwa ya watu wamesha aga lakini sasa hivi ndo wanaleta kikapu na kuweka karibu na jeneza ili atakaye aga aweke chochote. hapa naona wamejichanganya. hii ilibidi waiweke mwanzoni hata kabla waandishi wa habari hawajaaga.
picha mkuu........

Sasa mambo ya goli la tano tena yanatoka wapi mkuu?
Yaishe basi.Mkuu huo ndo ukweli. najua unauma. mafisango ndiye aliye funga goli la tano na la mwisho kwa simba msimu huu.
Kuna mwanasiasa yeyote kaja kuaga mwili? R.I.P Mutessa Mafisango, URAGIIYE TULAKUSHAAKA