Patrick Mafisango Dead: Former Rwanda Soccer Captain Dies In Car Crash.


Hao Azam wanawaletea Maji je Mmekula Chakula?
 
Chondechonde mkuu,usiweke picha ya mwili wa marehemu hapa,maana ni makosa makubwa kwa M/mungu na kwa maiti yenyewe kuidhalilisha.

Kitabu gani cha dini kinakataza na kusema ni makosa makubwa kuweka picha ya marehemu ktk mtandao, kwani kufanya hivyo ni kumdhalilisha?

Au huyo Mungu ni yupi?
Hivi wabongo lini mtaachana na porojo na maneno yasiyofaa mnayo msingizia Mungu?
 
RIP Mafisango..yaani kifo cha huyu mchezaji kimenisikitisha sana.
 
Kocha wa simba yupo hapa na uvimilivu umemshanda kadondosha machozi. anasema hawezi kuongea chochote kwa leo.
Mafisango alikuwa kashasign mkataba mpya kabla ya maandalizi ya kurudi kwao.
Dah!. hiki kifo kimeniumiza sana sijui kwanini. Angekufa nsajigwa nisingelia hivi. R.I.P Mafisango. AMEZIKWA LEO - CONGO.
 
Kwa kweli inauma sana,
vijana wadogo wanajitahidi na maisha lakini
miaka yao ya kuishi inakuwa michache sana,
R.I.P Mafisango.
 
Dah!. hiki kifo kimeniumiza sana sijui kwanini. Angekufa nsajigwa nisingelia hivi. R.I.P Mafisango. AMEZIKWA LEO - CONGO.
Pamoja msiba,lakini umekuzwa sana. N naomba kutofat=utiana na wengi,inakuwaje mchezaji aliyekufa kwa ulevi na kacheza kwa msimu mmoja/2 eti jezi yake inaondolewa klabuni?Is he a legend?sidhani.
 
Miaka 9 sasa! Endelea kupumzika kwa mani Patii
 
Miaka 10 leo baada ya kifo cha Mafisango, aendelee kupumzika kwa amani mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…