Patrick Ndakidemi, Mbunge agawa gesi kwa Warombo

Hakuna Profesa hapa bali Propesa
 
Ray Mboya alishinda 2020, Ikalazi ishwa Priscus atanagzwe, jamaa toka amekuwa mbunge hana amanai, anajiona mnyinge na sasa ansubiri tu kumaliza akaendeleze hoteli yao ya urithi, leopards na maduka yao pale dabo road -Moshi-drapers.
Uko sahihi Priscus anaonekana hana furaha tangu akinyakuwe kiti hicho hana nuru kabisa usoni

Sijui ni stress za Ibraline?
 
Wewe unaijua rombo wewe? Rombo inahusikaje huko Moshi vijijini? Rombo Ina mbunge profesa mwenye PhD yake
Tuambie hapo moshi V ni Profesa , Ansi Mmasi au Morris Makoye

Ameanza kampeni?
 
Uko sahihi Priscus anaonekana hana furaha tangu akinyakuwe kiti hicho hana nuru kabisa usoni

Sijui ni stress za Ibraline?
Ibra yupo vizuri lakini atafilisika kwenye siasa, Davis Mosha anarudi Mosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…