Patrick Ngowi, Isaya Yunge na Benji Fernandes wameenda wapi?

Patrick Ngowi, Isaya Yunge na Benji Fernandes wameenda wapi?

Patrick Ngowi ndio kapotea kimoja. Alitapeli wazungu kwenye maboashara yake Mkuu .Sijui kapotelea wapi kwa sasa.

Benja ni wakishua Home kwao wanakeshi Naona wazazi wake wana asili ya Kihindi pia anaconnection hadi majuu huko
Kupotea kwenye gemu vigumu. Mcheki instargram.

Isaya Yunge kapata support kubwa sana kutoka kwa wazungu (wajapani wachina (ngonzi nyeupe) akapata chance ya kusoma na scholarship mpaka akaenda Majuu Ila kwa sasa hasomeki vizuri wala mishe anazofanya utaona mapicha mapicha mapicha tu Mkuu .Hata hizo App anafanya parternship na wazungu na mambo mengine Mkuu.

ONTARIO (sirjeff dennis )yeye ndio yupo kwenye gemu mpaka sasa ni hayo tu kwa kifupi.
 
Hawa watu watatu wamewahi kuni inspire sanaa kwenye mapambano ya kutafuta chapaa, recently sijawasikia kabisa
Wameenda wapi?
Patrick Ngowi siyo mtu wa media sana yupo anaendelea na harakati zake kampuni yake ipo imeajiri vija wengi tu. Fernandes naye yupo ila nadhani app yake haijafanya poa sana maana mwenyewe nimeitumia maramoja.
 
App Yake inafanya nini Na ni mpaka nje ya nchi?
 
Patrick Ngowi siyo mtu wa media sana yupo anaendelea na harakati zake kampuni yake ipo imeajiri vija wengi tu. Fernandes naye yupo ila nadhani app yake haijafanya poa sana maana mwenyewe nimeitumia maramoja.
Sijaona nini hasa ni nini potential ya ile App ya NALA, ukweli haina potential yoyote kwa mtu wa kawaida na hao ndio majority Tz.

Hakufanya utafiti wakutosha kujua watu wanahitaji nini kwenye nyanja ya fedha.
 
Inafanya miamala kama hii ya mpesa , tigo pesa na malipo ya meninge tofauti ni kwamba haihitaji internet kufanya kazi
[/Q nje ya mada. yeye aliitengeza au ni mmiliki tu?
 
Ametengeneza maana jamaa kasoma chuo bora kabisa duniani.
 
Huyo somebody Ngowi mara ya mwisho alikamatwa na madini ya mabilioni huko Kenya
Sijajua kama alisharejeshwa ama vipi...but madini yalirejeshwa na serikali ya Kenya kupitia waziri wao mmoja hivi.
 
Hamna walichokua wanafanya. Walikua wana tactics za PR nzuri tu. Benji alikua na exposure ndo maana kachukua watu wenye njaa na kuweka pesa kwenye idea zao. Isaya Yunge hamna kitu. Alikua tu na connections, mbona vijana wengi wanatengeneza tu applications. Kuna kijana anaitwa Given Edward. He’s way more smarter than huyo Yunge. Patrick Ngowi alikua wakishua lakini ana akili. Sema umeme wa REA umeshusha soko lake!
 
Back
Top Bottom