nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 288
- 230
Patrick Ngowi siyo mtu wa media sana yupo anaendelea na harakati zake kampuni yake ipo imeajiri vija wengi tu. Fernandes naye yupo ila nadhani app yake haijafanya poa sana maana mwenyewe nimeitumia maramoja.Hawa watu watatu wamewahi kuni inspire sanaa kwenye mapambano ya kutafuta chapaa, recently sijawasikia kabisa
Wameenda wapi?
App Yake inafanya nini Na ni mpaka nje ya nchi?Patrick Ngowi siyo mtu wa media sana yupo anaendelea na harakati zake kampuni yake ipo imeajiri vija wengi tu. Fernandes naye yupo ila nadhani app yake haijafanya poa sana maana mwenyewe nimeitumia maramoja.
Hawa watu watatu wamewahi kuni inspire sanaa kwenye mapambano ya kutafuta chapaa, recently sijawasikia kabisa
Wameenda wapi?
Inafanya miamala kama hii ya mpesa, tigo pesa na malipo ya meninge tofauti ni kwamba haihitaji internet kufanya kazi.App Yake inafanya nini Na ni mpaka nje ya nchi?
Sijaona nini hasa ni nini potential ya ile App ya NALA, ukweli haina potential yoyote kwa mtu wa kawaida na hao ndio majority Tz.Patrick Ngowi siyo mtu wa media sana yupo anaendelea na harakati zake kampuni yake ipo imeajiri vija wengi tu. Fernandes naye yupo ila nadhani app yake haijafanya poa sana maana mwenyewe nimeitumia maramoja.
Nani watampa maneno ya uwongo kwasasa, watu wanapambana na hali zao.Hawa watu watatu wamewahi kuni inspire sanaa kwenye mapambano ya kutafuta chapaa, recently sijawasikia kabisa
Wameenda wapi?
Inafanya miamala kama hii ya mpesa , tigo pesa na malipo ya meninge tofauti ni kwamba haihitaji internet kufanya kazi
[/Q nje ya mada. yeye aliitengeza au ni mmiliki tu?
Sir Jeff atakuja kuingiza watu chaka muda sio mrefu.. time will tell
HahahahaSir Jeff atakuja kuingiza watu chaka muda sio mrefu.. time will tell