Patrick Ngowi, Isaya Yunge na Benji Fernandes wameenda wapi?

Hawa walikuwa waganja njaa tu waliojifanya wanapesa ili wapate umaarufu, hawana kitu
 
Patrick Ngowi
Alipata umaarufu kwa biashara ya sola. Sijajua anaendeleaje kwa sasa.

Isaya Yunge
Alipata umaarufu kupitia Soma App na Soma Fit; Alipewa mpaka tuzo na Malkia Elizabeth - lakini mwishowe akaflop. Kwa maelezo yake ni kuwa kuna watu walimkwamisha. - saivi amekuja na 'Kaya'. Let's hope for the best while expecting the worst.

Benji Fernandes
Alipata umaarufu kupitia Nala App; akashinda tuzo pia kupitia app yake hiyo. Lakini kwa mujibu wa vijana kutoka' Silicon Dar' ni kuwa app yake ime-stuck kwasababu selling point yake ni offline functionality. Sasa offline functionality inawezekana kwa android tu, kwenye iOs haiwezekani - kwahiyo amekwama kui-scale up.

BOTTOM LINE
Mazingira ya tech start up hapa Bongo sio rafiki sana, unahitaji resilience, passion na connections za kutosha ili uweze kutoboa.
 
Kumbe kaya ni ya kwake? basi jamaa ni fighter unajua ukiwa fighter u do not quit ikigoma hapa unahamia hapa mpaka ufanikiwe
 
Ontario ze great,mambo ya foreksi.
 
Hawa Jamaa walikuwa na mbwembwe balaa! Fujo za hapa na pale, mradi tu taflani
 
Patrick Ngowi siyo mtu wa media sana yupo anaendelea na harakati zake kampuni yake ipo imeajiri vija wengi tu. Fernandes naye yupo ila nadhani app yake haijafanya poa sana maana mwenyewe nimeitumia maramoja.
Kuhusu Patrick umedanganya, mara ya mwsho namsikia DPP wa Kenya alisema yuko ndani , probably walikua na mpango wa kumwachia au kumhamishia magereza ya hapa nyumban
 
Google.. Yani usipende kutafuniwa kila kitu
Mkuu uzi ungependeza zaidi ungewazungumzia kidogo maana siyo kila mtu anawafahamu ila uzi kila mtu yuko huru kusoma.
Hao ni nani na walijishughulisha na nini??
 
Dah naona hao wote wamekwama na walichelewa, Kubwa kuliko wote kwangu ni Sir Jeff a. k. a ontario, Aisee yule mjaluo ni mjanja sana, nlisikia huko nyuma alipigia kitabu kenya, ndio kwanza ana miaka 25, kuna kongamano flani niliona alialikwa huko marekanj na akapewa tuzo ya ujasiriamali hapo alikuwa na miaka 21 tu, nakumbuka anavyohojiwa alilalamima sana miaka yake kuwa kikwazo kafika kupewa mkopo na benki enzi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…