Patrick Ngowi, Isaya Yunge na Benji Fernandes wameenda wapi?

Mkuu uzi ungependeza zaidi ungewazungumzia kidogo maana siyo kila mtu anawafahamu ila uzi kila mtu yuko huru kusoma.
Hao ni nani na walijishughulisha na nini??
It's not ur menu mkuu ukiona hivyo ujue haikuhusu hii thred.
 
Hata tigo pesa app haitaji internet kufanya kazi
Kweli mkuu? ina maana ukizima data bado itafanya kazi? Unajua mfano mpesa na tigo pesa app zinafanya kazi hata usipokuwa na bundle ili mradi chip iliyomo ni ya mtandao husika. Maana yake si kwamba haitumii internet ila wameipa exceptional kama vile unavyotumia freebasics kuingia jf hata kama huna bundle. Ukitaka kujua kuwa inatumia internet switch off data uone
 

Mkuu wewe unauelewa mdogo na technology usipotoshe umma,kwani unapotuma pesa kawaida kupitia *150*00# unawasha data? Kinachofanyika ni kuvisha kitu kinaitwa graphic user interface yaan instead ya kutumia ussd wanatumia user graphics
 
Mkuu wewe unauelewa mdogo na technology usipotoshe umma,kwani unapotuma pesa kawaida kupitia *150*00# unawasha data? Kinachofanyika ni kuvisha kitu kinaitwa graphic user interface yaan instead ya kutumia ussd wanatumia user graphics
Wewe unaongea kitu usichokijua, hapa hatuongelei ussd code hapa tunaongelea apps. Inaelekea umedandia treni kwa mbele. NALA ni app na hizo tigo na mpesa tulizokuwa tunaongelea ni apps. Hujui unachokiongea unadhani apps za voda na tigo pesa zinatumia USSD iliyojificha nyuma ya GUI?
 

Mkuu acha ubishi mkuu, hakuna exceptional ya internet kwenye hizo mambo,i know what i am talking about
 
Hebu weka app ya tigo pesa switch off data halafu ifungue ujaribu fanya muamala wowote uone kama itafanya kazi... Mbona simple tu.

Labda kama kuna maboresho yamefanyika,lakini thats the concept
 
Mkuu acha ubishi mkuu, hakuna exceptional ya internet kwenye hizo mambo,i know what i am talking about
Na labda ngoja nikuongeze hili, ndiyo maana ukishaiunga haijalishi popote utakapokuwa duniani ili mradi uko connected na internet hata kamakwenye simu hamna chip imeiconnect na wifi utaweza access tigo pesa na kufanya miamala. Ndiyo maana ukishaiunga hata utoe chip ya tigo uweke chip nyingine as long as kuna internet utafanya miamala. Mimi mfano nina app ya tigo pesa kwenye sim lakini line ya tigo haiko kwenye simu na nimeipoteza since feb lakin bado nafanya miamala ya tigo pesa.
 

Uongo! Uongo mkubwa!

Kwanza kabisa kutumia Tigopesa App lazima uwe unatumia Internet yao.

Mfano umejiunga bando la Voda halaf ufungue Tigopesa App haifanyi kazi.

Kwa mpesa app sijui.
 
Ontario naona kwa sasa kapiga chini kilimo na ufugaji. Anakomaa na Forex tu.πŸ˜€
 
Hayo yote now kapiga chini. Anakomaa na Forex tu.πŸ˜€
 
huyo somebody Ngowi mara ya mwisho alikamatwa na madini ya mabilioni huko Kenya

sijajua kama alisharejeshwa ama vipi...but madini yalirejeshwa na serikali ya Kenya kupitia waziri wao mmoja hivi
Mjini kuna mishe mishe nyingi sana
 
Ontario naona kwa sasa kapiga chini kilimo na ufugaji. Anakomaa na Forex tu.πŸ˜€
Sikweli, jamaa anaamini katika vyano vingi vya pesa kitambo alishwai sema kupata Mtaji endelevu tatizo Banks zinazingua yeye kama mjasiliamari akaona Forex njia sahihi ya kumpa Mtaji endelevu wa muendelezo Biashara zake.

Kwamaana hiyo Forex anafanya kama Hustling ya kumpa mitaji, juzijuzi alipost video YouTube alisema ana account kadhaa moja wapo ni kwaajili ya Investment tu pesa anayotoa anaendelea kuwekeza kwenye Physically Business...Biashara ya kuku anaendelea nayo na hana biashara moja.

Tuwe positive at some point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…