Mpenda Usalama
Member
- Nov 5, 2019
- 57
- 13
Licha ya vingine binafsi niliangalia huo mwanya nikataka kufahamu.
Duh lakini huyu jamaa hayo meno ya mbele wali yang'oa au alizaliwa hivyo?!
Nasikia wanakula nyama sana, sasa wakitoa memo nyama inalikaje hapo?!
polepole anatoa udiwani? yeye ndiyo tume? ulisoma wapi wewe? ati nawe ni GT wa lumumba hahahahaHakuna la maana hapo anatamani hata apate namba ya Polepole apewe hata udiwani maana chama kimemfia
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app