bandubandu
Senior Member
- Dec 19, 2010
- 102
- 28
Matokeo si kila kitu kwenye soka. Mpira ni matokeo, biashara, burudani, kuuza wachezaji wetu na kuwakuza kisoka na mengine mengi. Big up to Ochan, Samata, Okwi, Maftah na Simba kwa ujumla. Kiwango kizuri na mechi ilikuwa na ushindani. Makosa ya mabeki ni ya kufanyia kazi. Mazembe pia wamevutiwa na hao wachezaji na watajaribu kuwafuatilia hasa samata ambaye bado ana umri mdogo.walewale kufungwa twafungwa lakini chenga twawala. mpira magori not otherwise.
Ni kweli wachezaji wa nje wana ssaidia sana timu zetu lakini kwenye timu zilizo makini kama simba....angalia ndugu zetuyanga wallisha wahi kusajili wachezaji wa nje 11 na hawakuwasaidia kitu...simba inaona watano lakini angalia mchango wao na nina kuhakikishia kama Joseph Owwino na Hillary Echessa wasingekuwa majeruhi matokeo yasingekuwa 6-3...Pengo na Owino limeonekana pale nyumaWachezaji wa nje wanachangia sana mafanikio ya soka kwenye klabu zetu pale Simba kuna Okwi,Ochani na yule beki ambaye ni majeruhi.Wachezaji wa bongo hawana chochote ndio maana ni wachache wanaocheza nje ya bongo