...WanaJF nimesikia fununu kuwa yule kocha wa Simba mzambia Patrick Phiri ametupiwa virago rasmi pale msimbazi...Je ni kweli au ni umbea tu...na ukizingatia huyu jamaa alikiwisha sema ataileta familia yake hapa Tanzania ili aitumikie Simba vyema...hii ikoje?