NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Mwanasheria msomi,nguli katika kudadavua migogoro ya kisheria nchini tunaomba mrejesho wa kesi ya Yusuph Kagoma kwanza.
Maana ulituaminisha kwamba mchezaji huyo alisaini Yanga na mkataba upo.
Wasiwasi wa sisi mashabiki huko 'CAS' utaweza kuitetea Yanga kweli?
Rekodi zako katika mashauri mbalimbali ya kisheria zinaonyesha umeiingiza Yanga kwenye majanga(mfano:mikataba mibovu ya wachezaji mbalimbali ambayo mwishoni uigharimu klabu).
Naishauri klabu ikaombe muongozo wa kisheria toka kwa wakili Peter Kibatala.