PreGE2025 Patrobas Katambi ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Huyu pimbi hivyo vikelele anapiga hapo anafikiri ana hoja za kuchuana na TAL!

Anadhani akina Nchimbi waliokimbia mdahalo ni wajinga.

Anadhani pia akina sizonje na (sasa) dadake lady gaga hadi kuamua kwa vipindi vyao tofauti kutumia nguvu kujibu hoja za TAL hawakupenda kumjibu kwa hoja.
 
Katambi ni mkubwa sana kisiasa. Nadhani Lissu na Heche wangepata mdahalo na Abdul Nondo kwanza.
 
Utopolo anapuyanga kutaka mdahalo na Bosi wake wa zamani. Tabu tupu…
 
naomba lissu akubali dogo agaragazwe alafu afukuzwe u naibu na ccm kwa kudharirisha chama kwa makusudi
 
Beseni lenye maji ya moto lipo kichwani.
Avumilie au alimwage limwagikie Mama mwenye Nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…