bottleneck
Member
- Oct 13, 2016
- 43
- 13
Helasita Secondary School iliyopo wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam bado tunahitaji mlezi wa vijana wetu (Patron) hivyo bado nafasi ipo wazi tunaendelea kumtafuta mtu huyo.
Priority ni kwa aliye somea maswala ya Community Health, Nursing, Sociology ama course yoyote inayohusiana na jamii, uzoefu utazingatiwa, umri angalau above 30 yrs.
Kwa mawaliano tuma CV kwenye info@helasitasecondary.ac.tz Pia unaweza kunicheki PM kwa maelezo zaidi.