Sikiliza mpaka mwisho yanga imetajwa sana na huyo kipaPropaganda zingine zinachekesha sana, eti mtu hata kingereza hakijui halafu mnalazimisha ionekane kiongozi wa Yanga. Haya tuache ya kingereza, mtu kasema opponent want to won a match, sasa ndio nini?
Imetajwa kwavile ni opponent katika mechi inayochezwa Jumatano ila kwenye audio hakuna sehemu huyo mtu kajitambulisha kuwa ni nani, na ana cheo gani. Na hakuna alipotoa ahadi ya kutoa pesa. Hata hivyo kwanini mnaangaika sana na mitandaoni wakati mamlaka zipo? Huyo kipa si yupo na namba si zipo? Kwanini msifungue kesi na hizo namba zichunguzwe ni za nani? Badala yake mnakuja kueneza vitu mtandaoni badala ya kuchukua hatua.Sikiliza mpaka mwisho yanga imetajwa sana na huyo kipa View attachment 3290918
SAuti ni ya swediImetajwa kwavile ni opponent katika mechi inayochezwa Jumatano ila kwenye audio hakuna sehemu huyo mtu kajitambulisha kuwa ni nani, na ana cheo gani. Na hakuna alipotoa ahadi ya kutoa pesa. Hata hivyo kwanini mnaangaika sana na mitandaoni wakati mamlaka zipo? Huyo kipa si yupo na namba si zipo? Kwanini msifungue kesi na hizo namba zichunguzwe ni za nani? Badala yake mnakuja kueneza vitu mtandaoni badala ya kuchukua hatua.
Ndio mkafungue kesi mnasubiri nini?SAuti ni ya swedi
Mpira ni uchumi kwa wajasiria mali wa Tabora unataka awaache?RC anaongea saana, haya mambo angewaachia viongozi wa klabu wayaongelee halafu yeye akae kwenye nafasi yake. Haya mapichapicha ni dalili mbaya kwa Tabora.
Huyu mkuu wa mkoa ndio maana yule afisa wa Gepsa alimtukanaView attachment 3289536
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa mbinu nyingi ili asiingie hatiani, ndio maana mahakama huwa wana msemo wao, proof beyond any reasonable doubt, yaani uthibitisho au ushahidi pasipo shaka yoyote, kwa vyovyote vile mtoa rushwa hawezi kutuma hela kwenye simu anajua atapotea, kwa hiyo anatanguliza meseji ya kukuomba ulegeze ili kesho akiona kweli umelegea basi jioni ndio anakutafuta kwa kukutumia muamala kwenye namba nyingine.
Pia soma: Pre GE2025 - Mkuu wa mkoa wa Tabora atoa ahadi ya milioni 60 kwa Tabora United akiifunga Yanga
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ni mtu makini sana, kwanza ni mteule wa kiongozi namba moja nchini, hawezi kuona mkoa wake unashuka kimichezo kwa mambo ya kijinga jinga, Tabora zamani ilikuwa ndio kitovu cha soka, kulikuwa na timu ikiitwa Mirambo, kaka hii timu ilikuwa balaa, sisi tuliokuwepo enzi zile tuliiona hii timu, acheni tu.
Watu wanapambana kusajili wachezaji wazuri ili kuletea mafanikio mkoa, wengine wanashiriki kuzihujumu timu za mikoani ili waonekane wako vizuri, hapana.
Tunaweza kudhani kuwa RC anafanya mzaha lakini kwa level yake kutoa tuhuma zile maana ameongea na wachezaji na amebaini viashiria vya rushwa.
Ally komwe tangu juzi yuko Tabora ameenda na watu wake mapema kabisa kufanya nini kama sio kuleta mzaha katika mpira wetu.Halafu kijana amenikera mno kumdhihaki Mkuu wa Mkoa, mtoto amekosa kabisa adabu, mbona Hersi hamjibu majibu hovyo au kwa sababu anakupa kula, mjinga mkubwa huyu mtoto, amenikera sana.
Nawashauri Tabora chezeni boli lakini leo Utopolo watatoa kafara la ng'ombe 40 huko Tabora wakidai wana sikukuu ya Idd, sio kweli, viongozi wa Tabora kama mnasoma hapa, hilo kafara la damu hilo, majini yao utopolo yanataka furaha leo, na furaha yao ni damu, nawaomba sana kama mna watu wazuri nje ya uwanja wekeni sawa hili jambo, vinginevyo kesho mtakoga mabao mengi sana hapo uwanjani.
Haujanielewa. Nakubaliana na yeye 100% kuisapoti timu ya mkoa wake. Tena natamani viongozi wengi zaidi na taasisi nyingi za mikoani inabidi zisapoti timu za mikoa yao ili ziwe na ushindani zaidi. Simba na Yanga hazitakiwi kwenda mikoani zikatamba kama ziko nyumbani kama ambavyo zimekuwa zinafanya kwa miaka mingi.Mpira ni uchumi kwa wajasiria mali wa Tabora unataka awaache?
Kaa kwa kutuliaNdio mkafungue kesi mnasubiri nini?
Hivi mnavyokua na mihemko hivi ya kipuuzi mnakua mmekula?? We unadhani kuja tuhuma ya kweli itaenda kwenye media au ni propaganda tu... NdegezegeView attachment 3289536
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa mbinu nyingi ili asiingie hatiani, ndio maana mahakama huwa wana msemo wao, proof beyond any reasonable doubt, yaani uthibitisho au ushahidi pasipo shaka yoyote, kwa vyovyote vile mtoa rushwa hawezi kutuma hela kwenye simu anajua atapotea, kwa hiyo anatanguliza meseji ya kukuomba ulegeze ili kesho akiona kweli umelegea basi jioni ndio anakutafuta kwa kukutumia muamala kwenye namba nyingine.
Pia soma: Pre GE2025 - Mkuu wa mkoa wa Tabora atoa ahadi ya milioni 60 kwa Tabora United akiifunga Yanga
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ni mtu makini sana, kwanza ni mteule wa kiongozi namba moja nchini, hawezi kuona mkoa wake unashuka kimichezo kwa mambo ya kijinga jinga, Tabora zamani ilikuwa ndio kitovu cha soka, kulikuwa na timu ikiitwa Mirambo, kaka hii timu ilikuwa balaa, sisi tuliokuwepo enzi zile tuliiona hii timu, acheni tu.
Watu wanapambana kusajili wachezaji wazuri ili kuletea mafanikio mkoa, wengine wanashiriki kuzihujumu timu za mikoani ili waonekane wako vizuri, hapana.
Tunaweza kudhani kuwa RC anafanya mzaha lakini kwa level yake kutoa tuhuma zile maana ameongea na wachezaji na amebaini viashiria vya rushwa.
Ally komwe tangu juzi yuko Tabora ameenda na watu wake mapema kabisa kufanya nini kama sio kuleta mzaha katika mpira wetu.Halafu kijana amenikera mno kumdhihaki Mkuu wa Mkoa, mtoto amekosa kabisa adabu, mbona Hersi hamjibu majibu hovyo au kwa sababu anakupa kula, mjinga mkubwa huyu mtoto, amenikera sana.
Nawashauri Tabora chezeni boli lakini leo Utopolo watatoa kafara la ng'ombe 40 huko Tabora wakidai wana sikukuu ya Idd, sio kweli, viongozi wa Tabora kama mnasoma hapa, hilo kafara la damu hilo, majini yao utopolo yanataka furaha leo, na furaha yao ni damu, nawaomba sana kama mna watu wazuri nje ya uwanja wekeni sawa hili jambo, vinginevyo kesho mtakoga mabao mengi sana hapo uwanjani.
Na wao wawatumie messages za ela wachezaji wa Yanga ili wacheze chini ya kiwango.View attachment 3289536

Wapo Kuanzia juu mpaka chiniTanzania inawajinga wengi sana.
Eti??Umeandika kimwiko nyuma sana
NIna wasiwasi na elimu yake na IQ yakeRC Tabora amejidharirisha, nimemsikiliza.... Nina mashaka na uwezo wake.
Uko sahihi π―. Huyu na Mtanda wa Mwanza ni vierehere wasiojitambua. Kwani Mbeya Hakuna RC? Tanga haina RC?Haujanielewa. Nakubaliana na yeye 100% kuisapoti timu ya mkoa wake. Tena natamani viongozi wengi zaidi na taasisi nyingi za mikoani inabidi zisapoti timu za mikoa yao ili ziwe na ushindani zaidi. Simba na Yanga hazitakiwi kwenda mikoani zikatamba kama ziko nyumbani kama ambavyo zimekuwa zinafanya kwa miaka mingi.
Ambacho nimemkosoa ni yeye kutoka na kuonekana kama ndiye msemaji wa timu. Baadhi ya kauli zake kama vijembe naona kama aliteleza, angewaachia viongozi wa timu waziseme. Najua vijembe ni sehemu ya hamasa ila ndiyo inafungua mianya ya kudhalilishwa.
Kwenye hili suala, kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha utendaji sahihi na ule usio sahihi na ni rahisi sana kuuvuka kama alivyofanya yule RC wa Mwanza.
Dah watu mna majibu kweli. Aiseeeee πππZuzu akiwa katia moja na mbili
Acha kumfananisha Mtanda na kitu cha ajabu!Uko sahihi π―. Huyu na Mtanda wa Mwanza ni vierehere wasiojitambua. Kwani Mbeya Hakuna RC? Tanga haina RC?
Ki mwiko nyumaEti??