Paul Gascoigne (Gazza) anasikitisha kwa kweli

Duh wanawake viumbe hatari kwa hela kwa mujibu wa maelezo yako.[emoji16] [emoji125] [emoji125]
Ya Frank Bruno yule aliyekuwa mwana masubwi inasikitisha zaidi, pesa yake nyingi ya kupigana alinunua mansion huko country side, baada ya divorce mke amepewa nyumba na watoto, kwa huruma mke amempa servants courter ajistiri amasivyo angekuwa homeless. Akiamka anaona limansion alilopigania lileee.
 
Uko vizuri! Nilijua tu kwa hali hiyo lazima kuna laana zinamuandama
 
No more left of him except that history he made! This life is so strange
 
Huyo ndio gazza waqt yupo Italy lazio walikuwa na game gazza haonekani kupekua pekua wakamkuta anavua samaki hata khabari ya game hana.Siku ya nusu fainali 96 vs German wakati wa upigaji wa penalty yeye alikuwa anapiga story na wachezaji wa German yaani kama anawaambia mimi nikienda pale nafunga na kweli alipiga penalty nzuri.
 
hapo kwa Wilshire nahisi ni mapenzi binafsi
 
Hata kwa hatua hii bado utakuta mtu hajifunzi anaona ni bongo movie hiyo rey yupo location
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…