Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka imekuwa nchi kifalmeView attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Utakuta hapa JF mbwiga fulani inajinasibu oooooh Tanzania tuige Rwanda blaaaa blaaaa nyiiingi! Utaiga nini kwa kanchi kanaendeshwa kuzidiwa hata na Ukoo wa Mzee Rwegoshora namna ya kutawala kidemokrasia. ShiiiiitView attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Ujinga mtupu sasa ndio nini si bora atamke kuwa nchi ni ya kifalme ijulikane moja ,amekosa aibu kabisaView attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Duuh hao machalii ghafla wamekua majeneral kagame akisepe Rwanda itatikisika sana anazid kupalilia biasView attachment 3125654
Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote