Paul Kagame Amteua Major Gen Alex Kagame Kuwa Chief of Staff wa Reserve Forces na Maj Gen Andrew Kagame kuwa Commander wa Div 1

View attachment 3125654

Halafu kasema uteuzi unaanza mara moja. Huu sasa ni uchuro na dharau kwa Wanyarwanda wote
Utakuta hapa JF mbwiga fulani inajinasibu oooooh Tanzania tuige Rwanda blaaaa blaaaa nyiiingi! Utaiga nini kwa kanchi kanaendeshwa kuzidiwa hata na Ukoo wa Mzee Rwegoshora namna ya kutawala kidemokrasia. Shiiiiit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…