Mtoto wa shinyanga huyo..Ongeza udambu kidogo tumjue huyo James k, elimu yake na mbinu zake na vipi alistaafu mapema?
Shinyanga ama uganda?Mtoto wa shinyanga huyo..
James Kabarebe ni jenerali mstaafu wa jeshi la Rwanda na mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika ukanda wa Maziwa Makuu. Alizaliwa mwaka 1959 huko Ibanda, Uganda, na alipata elimu yake ya juu katika Chuo Kikuu cha Makerere, ambapo alihitimu shahada ya sanaa katika uchumi na sayansi ya siasa .Ongeza udambu kidogo tumjue huyo James k, elimu yake na mbinu zake na vipi alistaafu mapema?
Vita walipigana kina kayumba NYamwasa....Huyo kazi ni press conference tu
Mtoto wa shinyanga huyo..
Ongeza udambu kidogo tumjue huyo James k, elimu yake na mbinu zake na vipi alistaafu mapema?